×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Biashara zatatizwa Kitengela kutokana na mvua

19th April, 2018

Wakazi wanaoishi kandokando ya barabara ya old Namanga road sasa biashara zao zimetatizwa na maji yanayoporomoka kutoka kwenye mabomba ya maji taka. kulingana na wakazi hao, wamiliki majumba hufungulia maji taka wakati wa mvua kubwa, hali wanayosema imewasababishia uvundo huku biashara zao zikisalia kufungwa kwa kukosa wateja wanaokwepa kununua kwa maduka yao kwa sababu ya harufu mbaya. 

.
RELATED VIDEOS