×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wazee wakongwe katika kaunti ya Migori kuanza kulipwa sh4000 baada ya kila miezi miwili

19th April, 2018

Wazee wapatao  elfu kumi huko kaunti ya Migori ambao waliratibiwa kupokea fedha za kuwafaa katika maisha ya uzee, sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya taratibu za malipo hayo kukamilika. Wazee hao wenye umri zaidi ya miaka sabini walikusanyika katika uwanja wa michezo mjini Migori na kuhakikishiwa na mkurugenzi wa huduma za jamii kaunti hiyo Ben Makotsi, kuwa mambo yako shwari. Watakuwa wakipokea shilingi elfu nne kila mmoja kila baada ya miezi miwili.

 

.
RELATED VIDEOS