19th April, 2018
Tamasha za kuonyesha utamaduni wa jamii ya waturkana zipo kileleni hivi leo hadi kesho. ktn news iko huko kukuletea uhondo huo ambao gavana josphat nanok anasema kuwa watakaofika watakuwa na mengi ya kufurahia, huku mgeniwa heshima akiwa mama wa taifa Margaret Kenyatta.