.
18th April, 2018
kwa wakaazi wa eneo la Lamuria, kaunti ya Nyeri, msimu wa mvua umekuwa wakusikitisha. Wengi wao wakilazimika kuhamia makwao. Licha ya usaidizi mdogo wanaopata, huenda wakazidi kuwa katika hali ya sintofaham kuhusu maisha ya usoni