×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sheria yashika kasi kuhusu umiliki wa majumba ya ghorofa

18th April, 2018

Je, una ufahamu wowote kuhusu umiliki wa nyumba ambazo mtu hununua na zilizo kwenye ghorofa? mwaka 1987, sheria kuhusu umiliki wa aina hii uliidhinishwa nchini kenya kushughulikia umiliki wa sehemu ya jengo kwa mfano nyumba moja kwenye orofa. Miaka 30 badaye, wakenya wengi hawafahamu sheria hii, wajenzi na wauzaji wa nyumba fulani wa kichukua fursa hii kuwalaghai wanunuzi. 

.
RELATED VIDEOS