Jukwaa la KTN: Athari za mvua kubwa zashuhudiwa nchini
17th April, 2018
Jukwaa la KTN: Athari za mvua kubwa zashuhudiwa huku eneo za kaskazini mwa Kenya zikiweza kuhadhirika.Idara ya anga imeweza kutabiri mvua zaidi kwa siku zijazo na kuwaambia Wakenya wajipange