17th April, 2018
Mzozo umezuka baina ya kampuni ya wakazi wa kijiji cha Porro huko Samburu na mwanakandarasi wa umeme wenyeji wakidinda kuruhusu laini ya umeme kupita eneo hilo bila kupokea fidia kutoka kwa mwanakandarasi huyo.Wanalalamika kwamba mradi huo unafanywa kwa lazima bila mawasiliano yoyote nao.