17th April, 2018
Mtazamaji huko Eldoret Rev Joel Chebii ambaye ni naibu mwenyekiti COTU amezungumza na KTN News muda mfupi uliopita kuhusu siasa za eeno hilo na kwamba wanasiasa wanaozidi kumkosea mzee daniel arap moi heshima wanapaswa kujulishwa kuwa heshima si utumwa.