Moto mkubwa wateketeza mali yenye thamani ya mamilioni ya pesa Malindi

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 10:16 pm

Moto mkubwa umeteketeza mali yenye thamani ya mamilioni ya pesa katika hoteli moja eneo la Casuarina, Malindi.Inadaiwa kuwa moto huo ulianza saa saba adhuhuri ulisababishwa na hitilafu za nguvu za umeme katika jengo lililopo karibu na kisha kufikia hoteli