Watu tisa wamefariki kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es salaam nchini Tanzania

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 10:08 pm

Watu tisa wamefariki kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es salaam nchini Tanzania pia mvua hiyo imeharibu bara bara katika jiji hilo. Rajabu Hassan na maelezo zaidi kutoka Dar es salaam