×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Makamishna watatu wa IEBC wajiuzulu huku wakimlaumu Chebukati kwa kukosa uongozi bora

16th April, 2018

Uhusiano mbaya kati ya baadhi ya makamishna wa IEBC na mwenyekiti Wafula Chebukati umechochea kujiuzulu kwa naibu mwenyekiti Connie Maina, Margaret Mwachanya na Paul Kurgat mapema hii leo. Watatu hao wamemlaumu Chebukati kwa matatizo ya umoja kati ya makamishna.Wiki jana, afisa mkuu mtendaji Ezra Chiloba alienda mahakamani kupinga kulazimishwa kwenda likizo ya lazima ili kutoa nafasi kwa uchunguzi wa ununuzi wa vifaa vya uchaguzi. Mahakama ilitupilia mbali ombi lake.

.
RELATED VIDEOS