Njia mpya ya kuzima moto kupitia mipira spesheli yaanza kutumika nchini Kenya
14th April, 2018
Njia mpya ya kuzima moto kupitia mipira spesheli yenye kemikali kwa jina fire balls imeanza kutumika nchini kenya . kifaa hicho kilizinduliwa mara ya kwanza nchini Thailand mwaka wa 2001