×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maelfu ya watu wakongamana kwenye uwanja wa Orlando Johannesburg kumpa buriani mama Winnie Mandela

14th April, 2018

Maelfu ya watu wakiwemo marais kutoka pembe zote za ulimwengu wamekongamana kwenye uwanja wa michezo wa Orlando Johannesburg Afrika Kusini kumpa  buriani mpiganaji dhidi ya mfumo wa apartheid mama Winnie 
Madikizela Mandela. Mama Winnie Mandela aliyefariki akiwa na umri wa miaka 81 anazikwa kwenye bustani ya Fourways junction, Johannesburg.

.
RELATED VIDEOS