Masaibu ya wakulima baada ya bodi kutangaza kutonunua mahindi tena
13th April, 2018
Baadhi ya wakulima katika kaunti ya uasin gishu sasa wamegeukia ukulima wa viazi tamu baada ya kukosa soko la mahindi . Wakulima hao wanapokea mafunzo ya ukulima mabadala ili wasitegemee tena mahindi