13th April, 2018
Jaji Lucy Njuguna ametoa agizo la kumregesha mara moja kazini Barrack Muluka ambaye alifutwa kazi kama katibu mkuu wa chama cha ANC .Uamuzi huo unafutilia mbali uamuzi wa jopo la vyama vya kisiasa lililofutilia mbali uteuzi wa Muluka . Uamuzi huo umefanywa baada ya muluka kufika mahakamani kukata rufaa ya uamuzi wa jopo hilo