×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kamati ya mawasiliano kuhakikisha kwamba kila wadi nchini imefikiwa na mtandao

13th April, 2018

Kamati ya mawasiliano katika  bunge la seneti  imesema kuwa itahakikisha kwamba  kila wadi nchini imefikiwa na mtandao .Akiungumza  mjini kwale wakati wa uzinduzi wa kongamano , mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni seneta wa baringo Gideon Moi amesema kuwa ni asilimia 92 ambao zina mtandao nchini 

 

.
RELATED VIDEOS