×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mahakama kuu kujengwa Trans-Nzoia ili kupunguza mrundiko wa kesi

13th April, 2018

Tume ya huduma za mahakama JSC inanuia kujenga mahakama  kuu ili kushughulikia mrundiko wa kesi katika kaunti ya transnzoia  .kwa mujibu wa agrey muchelule ambaye ni mmoja wa makamishna wa tume hiyo,mahakama  hiyo itagharimu  shililngi millioni mia nne  madhumuni   yake  yakiwa   kutoa huduma bora kwa wakaazi wa kaunti ya Trans nzoia.mchelule  amesema kuwa watajenga mahakama zaidi katika maeneo bunge ya Endembess , Kiminini na Cherangani katika kaunti ya Trans nzoia

.
RELATED VIDEOS