×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakenya washamiri katika mbio za 3000M

13th April, 2018

Leo imekuwa siku njema kwa kenya, baada ya conseslus kipruto kuwaongoza wanariadha wenzake kunyakua nafasi za kwanza, pili hadi tatu, kwenye mbio za mita elfu tatu kuruka viunzi na maji.Kipruto alishinda mbio hizo na kupata medali ya dhahabu kwa kutumia dakika nane na sekunde kumi, Abraham Kibiwott akichukua nafasi ya pili kwa dakika nane na sekunde kumi na mbili, huku Amos Kirui akifunga orodha ya watatu bora

.
RELATED VIDEOS