Wawakilishi wa MCA Nakuru watishia kumbandua waziri wa fedha
12th April, 2018
wawakilishi wa wadi katika kaunti ya nakuru wametishia kumuondoa mamlakani waziri wa masuala ya fedha katika kaunti hiyo Joseph Kiuna kwa madai imemchukua muda mrefu wa ujenzi wa barabara.