×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Njuki atoa onyo kwa wanakandarasi kwamba huenda atalazimika kuwatupa nje baadhi yao

12th April, 2018

Gavana wa kaunti ya Tharaka Nithi Muthomi Njuki ametoa onyo kwa wanakandarasi kwamba huenda akalazimika kuwatupa nje baadhi yao siku za usoni. Njuki alizungumza baada ya maandamano yaliyoandaliwa na wanakandarasi hao nje ya ofisi yake wakiomba malipo ya kazi waliyofanya katika muhula uliopita. wakiandamana walilia kwamba hawakupata malipo kwa kazi nyingi walizofanya wakati huo

.
RELATED VIDEOS