×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke adai kukatwa mkono na mumewe, baada mzozo ulianza baada ya kukosa kumtimizia kindoa mumewe

11th April, 2018

            Mwanamke mmoja ? mama ya watoto watano anaendelea

           kupokea matibabu katika hospitali ya eneo la rift valley

           baada ya kudaiwa kukatwa kwa panga na mumewe kufuatia

           mzozo wa nyumbani mwanamke huyo mwenye umri wa

           miaka 30 alifikishwa hospitalini akiwa na majerajha akisema

           mzozo ulianza baada ya kukosa kumtimizia kindoa mumewe

.
RELATED VIDEOS