×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baadhi ya walimu sasa wanamtaka katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion kuondoka

11th April, 2018

        Baadhi ya walimu kutoka kaunti za Kiambu, Murang’a na

        Nairobi,sasa wanamtaka mbunge maalum na katibu mkuu wa

        chama cha waalimu nchini KNUT Wilson Sossion kuondoka

        ofisini walimu hao wanadai kwamba Sossion si mwalimu

        tena baada ya tume ya tsc kufutilia mbali usajili wake.

        waliongeza kwamba sossion amekiuka katiba kwa kujihusisha

        na siasa. Walimu hao sasa wanamtaka naibu wa katibu mkuu,

            hesborn omondi akabidhiwe majukumu ya katibu mkuu

.
RELATED VIDEOS