×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hisia zimetanda katika hospitali ya Narok wakati jamaa walipofika kutambua miili ya jamaa zao

11th April, 2018

        Hisia zimetanda katika hospitali ya Narok wakati jamaa

        walipofika kutambua miili ya jamaa zao kufuatia ajali ya hapo

        jana iliyowaua watu 19 ajali hiyo ilitokea baada ya basi

        walimokuwa kuanguka kwenye mto siyiatei katika barabara

        kuu ya Narok ? Mai Mahiu. Baadhi ya waliojeruhiwa

        wamezungumza kuelezea yaliyojiri kabla ya basi hilo kuingia

            mtoni ambapo watu wengine zaidi ya 40 walipata majeraha

.
RELATED VIDEOS