.
10th April, 2018
Jukwaa la KTN: Utuzi wa mazingira nchini baada ya visa vingi kuripotiwa vya uharibifu wa misitu.Hii ni baada hata ya marufuku ya ukataji miti na serikali.Maafisa wapolisi wakamatwa kwa kutumia gari za polisi kubeba miti na wengi wao wamezuiliwa