Mbiu ya KTN: Usalama Mombasa baada ya visa vingi kuripotiwa
10th April, 2018
Mbiu ya KTN: Usalama Mombasa baada ya visa vingi kuripotiwa majuma yaliyopita.Eneo Bunge la Likoni limeshuhudia visa hivi vya magenge kwa wingi.Serikali imesema kwamba kila kitu iko shwari kwa sasa