Jukwaa la KTN: Francis Atwoli azungumzia suala la Siasa nchini Kenya.
9th April, 2018
Suala Nyeti: Francis Atwoli azungumzia suala la Siasa Kenya.Francis Atwoli ni mwenyekiti wa chama cha wafanyikazi cha COTU ambacho hutetea haki za wafanyikazi nchini Kenya.