Zilizala Viwanjani: Mabingwa Gor Mahia wawalaza Supersport United 1-0
9th April, 2018
Mabingwa wa ligi kuu ya soka nchini Gor Mahia waliandikisha ushindi wa bao moja mtungi dhidi ya Supersport United ya Afrika Kusini katika mechi ya mkondo wa kwanza ya mchujo wa dimba la mashirikisho iliyochezwa Machakos.