×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyiakazi wa hoteli za kitalii Malindi na Watamu wapoteza kazi baada ya hoteli nyingi kufungwa

9th April, 2018

Mamia ya wafanyiakazi wa hoteli za kitalii katika miji ya Malindi na Watamu watapoteza kazi zao wiki hii baada ya hoteli nyingi kufungwa kufuatia msimu wa watalii kuisha.Hoteli ambazo zimefungwa ni zile zinazotegemea watalii wa kimataifa.  

.
RELATED VIDEOS