×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

UASU yasema suala la kortini lisizungumziwe na kuwa Mgomo katika vyuo vikuu utaendelea

9th April, 2018

Mgomo katika vyuo vikuu vya serikali utaendelea. Viongozi wa vyama vya UASU na KUSU wamesisitiza kwamba serikali imebaki kimya kuhusu mkataba wa 2017/2021, shughuli vyuoni humo zitaendelea kukwama.Serikali imetakiwa kuwasilisha pendekezo la malipo yao.Miungano hiyo pia imekosoa serikali kwa kukosa kushiriki mazungumzo nao.Wahadhiri wameapa kufanya maandamano katika muda wa wiki mbili zijazo.

.
RELATED VIDEOS