9th April, 2018
Tuelekee Garissa ambapo Hamza Yusuf anatathmini jinsi wenyeji wanamudu maisha baada ya kipindi kirefu cha kiangazi ambapo sasa ipo afueni ya mvua za hapa na pale. Hamza naarifiwa uko na mfugaji mmoja kwa jina Asman Ibrahim, hali ikoje huko?