8th April, 2018
kioja cha mbwa aliyefanya usuhuba na ng’ombe kiasi cha kumpeleka malishoni na kumrejesha zizini kila siku bila kuwepo kwa mchungaji. kikuu zaidi ni kwamba ng'ombe mwenyewe hali nyasi, bali hupapia mapipa. urafiki huu umedumu kwa miaka 10 kufikia sasa