×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu sita waaga dunia katika ajali iliyohusisha matatu na lori

7th April, 2018

Miili sita ya watu waliofariki kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Mariakani imelazwa katika hifadhi ya maiti ya Mombasa.sita hao ni watoto watatu wa kati ya umri wa miaka miwili na sita na wanawake watatu walikuwa kwenye gari la aina ya nissan lililokuwa likielekea eneo la wundanyi kutoka Mombasa. Gari hilo liligongwa na lori lililokuwa likitoka Nairob

.
RELATED VIDEOS