Vitimbi vya maprofessa na wafanyikazi wa vyuo vikuu nchini wakiendelea na maandamano: Mirindimo
6th April, 2018
Kwenye makala ya mirindimo juma hili tunaangazia vitimbi vya maprofesa wanaoandamana, kiapo cha machifu Keiyo South na mbwa waliojigeuza kuwa wamiliki wa ng’ombe Eldoret.