6th April, 2018
Kilio cha wakulima eneo la Rift Valley kuwa upo uhaba wa mbolea, hatimaye kinaonekana kupata suluhu. Waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri kwa sasa hivi yupo jijini Mombasa kuzindua safari ya magunia kadhaa ya mbolea kueleka bara ya nchi. Hebu tuelekee huko.