5th April, 2018
Mahakama kuu imeamrisha kesi inayomhusu Philip Onyancha, jamaa aliyekiri kuwaua watu 18 na kufyonza damu yao kuanza upya. Wakati uo huo, afisa wa polisi Titus Ngamau almaarufu katitu amehukumiwa miaka 15 gerezani kwa kosa la mauaji mtaani githurai.