×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanawake na wasichana katika kaunti ya Taita Taveta wapokea mafunzo ya ushonaji nguo

4th April, 2018

Wanawake na wasichana katika kaunti ya taita taveta wameanza kupokea mafunzo ya ushonaji nguo katika kituo ambacho kimeundwa katika mji wa voi. Wengi wa wanawake hao ni wajane huku wengine wakiwa wasichana waliopata mimba ya mapema. wengi wamekuwa wakihangaika kwa kukosa shughuli za kuwakimu kimaisha ndiposa hatua hiyo ya kuwapa mafunzo ya ushonaji ikachukuliwa. tayari kituo hicho kina zaidi ya wanawake arobaini na wanatarajia idadi hiyo kuongezeka hata zaidi.

.
RELATED VIDEOS