×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Church robbery caught on camera

2nd April, 2018

Wengi husema wezi hawana heshima na wala hawana mipaka na huruma  pia hawana na utakatifu haupo ,mwenye macho haambiwa tizama.,ni taarifa ya kipekee , majambazi kumi na watano waliojihami kwa bastola walivamia kanisa la lighthouse eneo la viwandani na kuibia waumini na wapita njia waliolazimishwa kuingia ndani ya kanisa na baadaye kuporwa na kuzabwa makofi.ni tukio lililonendelea kwa zaidi ya nusu saa hivi ,huku waumuni wakaiwa wametekwa mateka ndani ya kanisa.huyu hapa mwanahabari wetu purity mwambia na taarifa hiyo ya kipekee.

.
RELATED VIDEOS