1st April, 2018
Wakristo kote nchini wameendelea kumiminika makanisani kwa sherehe za pasaka. Huko vatican, makumi ya maelfu ya waumini wa kikristo walipitia ukaguzi wa kiusalama kuingia kwenye kanisa la st peters square kwa ibada ya jumapili iliyoongozwa na mkuu wa kanisa katoliki papa francis