×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa jamii ya waluhya waazimia kubuni chama chao cha kisiasa kufikia mwaka wa 2022

1st April, 2018

Baadhi ya viongozi wa jamii ya waluhya wameazimia kubuni chama chao cha kisiasa kufikia mwaka wa 2022 ili kujisimamia kwenye uchaguzi mkuu ujao.
wakiongozwa na waziri wa ugatuzi eugine wamalwa, waziri wa michezo Rashid Echesa na kiranja wa bunge Benjamin Washiali, viongozi hao wameendelea kusisitiza umuhimu wa kuungana pamoja kama jamii na kuunda chama kimoja kitakachomtoa mgombea mmoja wa urais atakayepeperusha bendera kwa niaba ya jamii hiyo.

.
RELATED VIDEOS