31st March, 2018
Mbunge wa Suna magharibi peter Masara amesema kuwa kufurushwa nchini kwa anayejiita generali wa vuguvugu la national resistance Miguna Miguna ni makosa Masara anasema kwamba hatua hiyo imefanya kushikana kwa rais uhuru kenyatta na kiongozi wa nasa raila odinga kuwa hafifu .