31st March, 2018
kina mama wa chama cha ODM jijini Nariobi wamejitokeza kutoa wito kwa serikali kumrejesha miguna miguna nchini la sivyo, wataandamana
Aidha wamemtetea kinara wa odm na NASA Raila Odinga dhidi ya shutuma zinazohusiana na kusalimiana kwake na rais Uhuru Kenyatta.wakizungumza kwenye jumba la orange Nairobi, pia walimtaka kinara wa ANC musalia mudavadi kumpa odinga heshima.