×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbiu ya KTN: Haki za Miguna Miguna

29th March, 2018

Tume ya kitaifa kuhusu haki za binadamu, chama cha wanasheria nchini na baraza la wanahabari nchini vimekashifu dhuluma dhidi ya wanahabari na wanasheria wakati wa kufurushwa nchini kwa mwanasheria Miguna Miguna. Aidha wamesema kuwa hamna sheria inayoruhusu kufutiliwa kwa uraia wa mtu alioupata kwa kuzaliwa nchini. Miguna Miguna sasa yupo Dubai kwenye himaya ya milki za kiarabu baada ya kutimuliwa jumatano usiku.

.
RELATED VIDEOS