.
29th March, 2018
shughuli za kuhifadhi misitu katika kaunti ya taita taveta zinatarajiwa kuimarika baada ya shirika la jica kutoka taifa la japan kutoa msaada wa pikipiki tano kwa kaunti ya taita taveta zitakazotumika katika kutunza misitu