×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbiu ya KTN: Usalama Mombasa

28th March, 2018

Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa sasa inaelezea wasiwasi na ongezeko la mauaji ya halaiki katika eneobunge la Likoni kaunti ya Mombasa. Kwenye ripoti yake mpya, tume hiyo pia inasema asilimiakubwa ya makundi yanayowahangaisha wakazi kiusalama yanachochewa na wanasiasa. 

.
RELATED VIDEOS