KEBS na KRA yafanya ukaguzi wa ghafla katika kiwanda cha kutengeza vinywaji cha Zheng Hong Kenya
28th March, 2018
shirika la kukagua ubora wa bidhaa KEBS pamoja na halmashauri ya ukusanyaji mapato nchini, KRA zilituma maafisa wao ghafla katika kiwanda cha kutengeza vinywaji cha zheng hong kenya