×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya Tatar kutoka Kapenguria kuchuana na Plateau Queens kwa kombe la chapa dimba

23rd March, 2018

Timu ya Tartar kutoka kapenguria itachuana na Plateau Queens kwenye fainaliya kombe la chapa dimba na Safaricom. Tartar iliibuka na ushindi wa mabao mawili bila jibu dhidi ya Archbishop Njenga huku Plateau Queens ikiilaza Limuru starlets mabao sita kwa sufuri. Robinson okenye na taarifa zaidi.

.
RELATED VIDEOS