23rd March, 2018
Kwenye makala ya mirindimo juma hili tunaangazia mazoea ya wakenya kufika kwenye maeneo ya ajali sio kuokoa waliojeruhiwa bali kuokoa mifuko yao. Na sehemu zingine za Kenya, maandamano dhidi ya pombe haramu yafanyika, lakini wauza bangi wanaendelea na kazi.