×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamme mwenye umri wa miaka thelathini na mitatu ajitoa uhai-Kericho: Mbiu ya KTN

23rd March, 2018

Mwanamme wa umri wa miaka 33 alijiua kwa kujirusha kwenye timbo ya mawe iliyojaa maji. Kisa hiki kilifanyika huko Cheptiting katika kaunti ya Kericho. Walioshuhudia walisema kuwa mwenda zake alikuwa dereva wa boda boda na alikuwa ameonekana mwendo wa saa saba mchana hapo jana akaipeana pikipiki yake ioshwe kisha akaelekea kwenye timbo hiyo na kujirusha. Marehemu alipatikana na paketi ya sumu kwenye jaketi lake na kuashiria kuwa alikuwa amekusudia kujitoa uhau awali. Kamishna wa Kericho Muktar Abdi alithibitisha kisha hicho.

.
RELATED VIDEOS