×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Miguna Miguna anatarajiwa kurudi nchini Jumatatu

23rd March, 2018

Mwanaharakati Miguna Miguna aliyefurushwa na serikali mwezi Februari kwa lazima hadi taifa la Canada baada ya kumwapisha kiongozi wa NASA Raila Odinga kama rais wa wananchi anatarajiwa kurudi nchini siku ya jumatatu. Tume ya kitaifa ya haki za binadamu ?KNCHR ?iliagizwa na mahakama kuhakisha kuwa miguna Miguna anarejeshewa hati yake ya usafiri upya baada ya serikali kuharibu pasipoti yake ya Kenya kwa madai eti Miguna alikuwa raia wa Canada. Mawakili wanaomwakilisha Miguna walitembelea afisi za KNCHR na kusema wamefurahishwa na hatua ya shirika hilo kuhakisha Miguna anarejea bila tatizo.  Miguna alikashifu vikali kufurushwa kwake na akaahidi kurejea nchini kutetea haki yake.

.
RELATED VIDEOS