×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mashindano ya gofu ya Kenya Open yangoa nanga katika klabu ya Muthaiga

21st March, 2018

Siku ya kwanza ya mashindano ya gofu ya Kenya Open mchanganyiko wa wachezaji limbukeni na wazoefu ilikumbwana manyunyu ya mvua na kibaridi. Hata hivyo, kitengo hicho kiliwapa fursa wacheaji wageni kutangamana na kujifunza mengi kutoka kwa magwiji wa gofu. Mashindano hayo yanaadhimisha miaka 50 tangu yaanzishwe huku wachezaji waking'an'ania shilingi milioni 62.5 ambapo mshindi atakabidhiwa shilingi milioni10. Miongoni mwa wakenya wanaotarajiwa kuonesha ubabe wao ni Jacob Okello, Dismas Indiza, Simon Ngige, CJ Wangai na Greg Snow.

.
RELATED VIDEOS